 |
Waumini wakiwa katika ibada ya kuwekwa Wakfu na kusimikwa kwa
Askofu Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini ,Dkt Fredrick Shoo ibada
iliyofanyika Usharika wa Moshi Mjini. |
 |
Askofu
,Dkt Paul Akyoo akimvisha kofia Askofu Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini
,Dkt Fredrick Shoo ikiwa ni alama ya ukuhani wake Yesu Kristo
katika kanisa lake. |
 |
Maaskofu wakiwa wamemzunguka huku wakimwekea mikono Askofu
Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini Dkt Fredrick Shoo na kumbariki kwa
baraka ya Haruni wakati wa ibada ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa
kwake. |
 |
Baadhi
ya waumini na viongozi mbalimbali wakiwa katika ibada hiyo
iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa
Moshi mjini |
 |
Askofu
Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini,Dkt Fredrick Shoo akitoa hotuba yake ya
kwanza muda mfupi baada ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kuwa Askofu Mpya
wa Dayosisi hiyo akichukua nafasi ya Dkt Martin Shao aliyemaliza muda
wake. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini ,kwa
PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment