BODI YA KAHAWA(TCB) NA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) WAIBUKA NA TUZO ZA PPF
Naibu
waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha na
Utawala wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Astery Bitegeko tuzo na Cheti
baada ya kushika nafasi ya pili uwasilishaji michango ya wanachama wa
PPF mapema kwa upande wa sekta ya Kilimo.
|
Naibu
waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akipeana mkono na Mkurugenzi wa Fedha
na Utawala wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Astery Bitegeko mara baada ya
kumkabidhi tuzo na Cheti baada ya kushika nafasi ya pili uwasilishaji
michango ya wanachama wa PPF mapema kwa upande wa sekta ya Kilimo.
|
Naibu
waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akimkabidhi Mkurugenzi mkuu wa Shirika
la Hifadhi za Taifa,Allan Kijazi tuzo na Cheti baada ya kushika nafasi
ya kwanza kwa sekta zinazotoa huduma nyinginezo kwa uwasilishaji
michango ya wanachama wa PPF mapema kwa upande wa sekta ya Kilimo.
|
Naibu
waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akimkabidhi Mkurugenzi mkuu wa Shirika
la Hifadhi za Taifa,Allan Kijazi akionesha tuzo na cheti alivyokabidhiwa
mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa taasisi zinazowasilisha
michango ya wananchama wa PPF kwa wakati.
|
Baadhi ya washindi wakionesha tuzo na vyeti walivyo kabidhiwa.
|
Mgeni
rasmi katika mkutano huo wa 24 wa wananchama na wadau wa PPF
unaofanyika jijini Arusha wakiwa katika picha na baadhi ya mawaziri
pamoja na viongozi wa PPF.
|
Washindi wa tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
|
Mkurugenzi
wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Astery Bitegeko
akionesha tuzo na Cheti baada ya kushika nafasi ya kwanza
uwasilishaji wa michango ya wanachama wa PPF mapema kwa upande wa
SACCOS. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
|
No comments:
Post a Comment