AMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA
Mkurugenzi
Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimkabidhi Mkurugenzi
Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako, hundi yenye
thamani ya shilingi milioni 48. Kwa ajili ya kuwasomesha wakunga 10
ambao baada ya kupata elimu wataajiliwa katika vituo vya afya hasa
vijijini ili kuwasaidia akinamama wanaohitaji huduma za uzazi.KCB na
AMREF wametangaza ushirikiano katika kusaidia suala zima la Afya ya
mama na motto nchini hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, wapili
kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB
Christina Manyenye na Meneja msimaizi wa mifuko wa jamii wa Amref
Lilian Nsemwa.( fund Raising Manager)
Mkurugenzi
Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako, akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo
pichani)wakati alipokuwa akiongelea juu ya ushirikiano wao na benki KCB
Tanzania katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na motto nchini
,wakati benki hiyo ilipokabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni
48. Kwa ajili ya kuwasomesha wakunga 10 ambao baada ya kupata elimu
wataajiliwa katika vituo vya afya hasa vijijini ili kuwasaidia akinamama
wanaohitaji huduma za uzazi.Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB
Tanzania Moezz Mir na Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB
Christina Manyenye wakimsikiza kwa makini.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir akiongele juu ya
ushirikiano wao na Amref Heath Africa Tanzania katika kusaidia suala
zima la Afya ya mama na motto nchini ,wakati benki hiyo ilipokabidhi
AMREF hundi yenye thamani ya shilingi milioni 48, kwa ajili ya
kuwasomesha wakunga 10 ambao baada ya kupata elimu wataajiliwa katika
vituo vya Afya hasa vijijini ili kuwasaidia akinamama wanaohitaji huduma
za uzazi.Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk.
Festus Ilako, na Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB
Christina Manyenye hafla ya hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako,
jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akiongerea juu ya ushirikiano wao
na benki hiyo katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na motto
nchini ,benki ya KCB Tanzania imekabidhi Amref hundi yenye thamani ya
shilingi milioni 48. Kwa ajili ya kuwasomesha wakunga 10 ambao baada ya
kupata elimu wataajiliwa katika vituo vya afya hasa vijijini ili
kuwasaidia akinamama wanaohitaji huduma za uzazi.
No comments:
Post a Comment