WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MAY 7-2014 JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi
Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua
mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari May 7, 2014 jiji Dar es Salaam.
juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya
Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
Mwendesha
mada Bi. Singlunda, akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni
rasmi kufungua mkutano (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya
Makamu wa Rais Julius Ningu.
Mdau wa habari akichangia mada.
Mdau wa habari akichangia mada.
Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Ladislaus Kyaruzi, akisisitiza juu ya utunzaji wa mazingira.
Afisa
Elimu Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Matha Ngolowera akitoa
ufafanuzi juu ya Tuzo ya Rais Dr. Jakaya Kikwete ya Upandaji wa Miti
ambayo hutolewa mara moja kwa mwaka wakati wa maadhimisho ya Siku ya
Mazingira Duniani.
Wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo.
Afisa
Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Fainahappy Kimambo
(kulia), akisisitiza Jambo kuelekea siku ya Mazingira Duniani (kushoto),
Mwendesha mada Bi. Singlunda.
Mdau wa habari akichangia mada.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
No comments:
Post a Comment