VIONGOZI WA DINI WAWASILI KUTOKA NCHINI THAILAND
Baadhi
ya viongozi wa dini kutoka katika Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwasili
katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini
Thailand. Viongozi hao walifanya ziara nchini humo kwa ajili ya
kujifunza na kupata uzoefu wa uendelezaji wa sekta ya gesi.
Viongozi
wa dini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Uwanja wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Abdallah Hamis Ulega akizungumza na waandishi
wa habari jinsi wananchi wa Thailand walivyonufaika na rasilimali ya
gesi.
No comments:
Post a Comment