Header Ads

WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI ATEMBELEA CCM DAR, ALAKIWA NA KATIBU MKUU KINANA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  akimlaki Waziri Mkuu wa Msumbiji, Alberto Vaquina aliyewasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam., ambapo walipata wasaa wa kufanya mazungumzo. Katikati ni  Vicente Veroso Balozi wa Msumbiji nchini. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Kinana akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini, Vicente Veroso
Kinana akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Vaquina
Kinana akielekea na mgeni wake ofisini kufanya mazungumzo
Kinana akiwa na mgeni wake ofisini

No comments:

Powered by Blogger.