Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaaf Bakari .Shaban Baada ya Kusaliwa Msikitri wa Meimbeni
Wananchi wakibeba jeneza lililokuwa na mweili wa Meja Jenerali Mstaaf
Bakari Shaban, wakiwa nje ya msikiti wa miembeni tayari kuelekea katika
makaburi ya kisakasa kwa mazishi.
Wakiwa wamembeba jeneza wakitoka katika msikiti wa miembeni Unguja baada ya kumaliza kuusalia leo jioni baada ya sala ya lasiri
Wanajeshi wa KJeshi la Wananchi wa Tanzania wakijiandaa kubeba jeneza
la Meja Janerali Mstaaf wa JWTZ Bakari Shaban,baada ya kusaliwa na kuaza
shughuli za Kijeshi kuingiza garini mwili wa marehemu kwa matayarisho
ya kuusafirisha kijiji kwao kisakasaka Wilaya ya Magharibi Unguja.
Makamanda wa JWTZ wakitembea kwa mwendo mwili huo katika msikiti wa
miembeni Zanzibar.wa pole wakiwa na jeneza la mwili wa marehemu Meja
Jenerali Mstaaf Bakari Shaban, baada ya kumaliza taratibu za familia
kuusalia
No comments:
Post a Comment