WATU 12 WAFA, 93 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA BURUDANI HANDENI
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakitambua miili ya ndugu zao waliofariki kwenye ajali baada ya basi Burudaniwalilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam, kupindukaleo katikan Kijiji chan Taula wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Wakazi wa Wilaya ya Korogwe wakiwa wamefurika kwenye Hospitali ya Magunga walipohifadhiwa marehemu na majeruhi.
Wauguzi wa Hospitali ya Magunga wakiendelea kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali hiyo..
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo akitokea chumba cha maiti cha Hospitali hiyo. (PICHA ZOTE NA MBONEA HERMAN)
No comments:
Post a Comment