ASAS NA MSOWOYA WAKEMEA SIASA ZA MAKUNDI NDANI YA UVCCM MKOA WA IRINGA
Kamanda
wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto akimkaribisha mwenyekiti
wa chipukizi mkoa Enock Luhala mara baada ya kutangazwa mshindi
katika uchaguzi mkuu wa Chipukizi mkoa uliofanyika mkoani humo
Kamanda
wa UV CCM ambae alikuwa mgeni rasmi katika uchaguzi wa Chipukizi mkoa
wa Iringa Salim Asas akiwa na viongozi wa UVCCM mkoa Tumain Msowoya
mwenyekiti wa umoja huo kushoto na mwenyekiti mpya wa chipukizi mkoa
Enock Luhala kulia
Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa Tumaini Msowoya wakiwa wamewapakata wajumbe wa mkutano mkuu wa Chipukizi mkoa wa Iringa mara baada ya uchaguzi
No comments:
Post a Comment