WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA JIJINI DAR LEO
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara , Dr
Abdallah Kigoda wakati alipofunga maadhimisho ya siku ya Viwanda
Afrika kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya
Kilwa jijini Dar es salaam, Novemba 20, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Bw. Gerge Buchafu wa
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) baada ya kufunga
maadhimisho ya siku ya viwanda Afrika kwenye uwanja wa Maonyesho wa
Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Novemba 20,
2013. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dr. Abdallah Kigoda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu viatu kutoka kwa
Elizabeth George (kulia)wakati alipotembelea banda la Woiso Original
Products katika maonyesho yaliyoambatana na maadhimisho a siku ya
Viwanda Afrika yaliyofaungwa na Waziri Mkuu Novemba 20, 2013 kwenye
uwanja wa maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Mwalimu Nyerere,
barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam . Kushoto kwake ni Waziri wa
Viwanda na Biashar, Dr. Abdallah Kigoda na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Ilala, Raymond Mushi.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Agness Tegete (kulia)
wakati alipotembelea banda la Pani Lihengu Company katika maonyesho
yaliyoambatana na maadhimisho a siku ya Viwanda Afrika yaliyofaungwa na
Waziri Mkuu Novemba 20, 2013 kwenye uwanja wa maonyesho ya biashara ya
kimataifa ya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam .
Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashar, Dr. Abdallah Kigoda.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment