Lowassa asaidia Maendeleo ya Elimu katika Tarafa ya Mbagala,jijini Dar
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akikamilisha ahadi yake ya kuchangia Elimu kwa Shule za Sekondari
Mbagala,kwa kumkabidhi Mchango wake wa Sh. Mil. 10,Mkuu wa Shule ya
Sekondari Mbagala,Mwl. Marcelina Kimario (wa tatu kulia).Wengine pichani
ni Walimu wa Shule mbali mbali za Sekondari zilizopo kwenye Tarafa ya
Mbagala.Makabidhiano hayo yamefanyika leo ofisini kwake,Mwenge jijini
Dar es Salaam.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari Mbagala,Mwl. Marcelina Kimario (aliesimama)
akisoma taarifa fupi ya namna walivyoweza kuiendesha harambee ya
kuchangia Maendeleo ya Elimu katika Tarafa ya Mbagala,iliyofanyika
majuma kadhaa yaliyopita.wakati walipofika Ofisini kwa Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa,kuwasilisha
taarifa hiyo leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
taarifa hiyo kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Mbagala,Mwl.
Marcelina Kimario.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza na walimu hao mara baada ya kuwakabidhi mchango wake
leo,Ofisini kwake.
Baadhi ya wakuu wa Shule mbali mbali za Sekondari katika Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza Mh. Lowassa.
No comments:
Post a Comment