Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Kamalesh
Sharma walipokutana mjini New York kwa mazungumzo kuhusu masuala
mbalimbali ya Jumuiya hiyo, ikiwemo maandalizi ya Mkutano ujao wa Wakuu
wa Nchi na Serikali (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika nchini Sri Lanka
mwezi Novemba, 2013. Mhe. Membe yupo mjini New York kwa ajili ya
kuhudhuria Kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Picha na Rosemary Malale |
No comments:
Post a Comment