KINANA AWATAKA VIONGOZI WANAOWATESA WALIMU WAJIUZURU HARAKA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akisaidia kusomba
matofali ya kujengea nyumba ya Balozi wa Shina la CCM namba 12, la
Isenge katika Kata ya Dutwa alipokuwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa
chama pamoja na kukagua mIradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa Ilani ya
CCM, katika mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Wanachama wa CCM wakisaidia kuchimba msingi wa ujenzi wa nyumba ya Balozi wa shina namba 12 la Isenge, wilayani Bariadi.
Kinana akizungumza na wanachama wa CCM wa Tawi la Isenge,katika Kata ya Dutwa Bariadi
Kinana akishiriki kula chakula cha asili aina ya mchembe ambacho ni viazi vilivyokaushwa
Wananchi wa Kijiji cha Yoma, Kata ya Somanda wilayani Bariadi,
wakishangilia kuonana na Katibu Mkuu wa CCM, Kinana ii asuhishe mgogoro
maji ktika kijiji hicho.
Kinana akisaidia kujnga vyoo vya Shule ya Sekondari ya Malambo, Bariadi mjini leo
Kinana akihutubia wananchini katika mkutano wa hadhara mjini Bariadi, ambapo pamoja na mambo mengine, aliwataka viongozi wanaowatesa waalimu kwa kutowatekelezea maslahi yao, wajuzulu mara moja.
Kinana akimkabidhi pikipiki mmoja wa viongozi wa bodaboda zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa ccm wialyani humo
Momoja wa wanachama wapya wa CCM, akipatiwa na Kinana kadi yake ya uanachama katika mkutano huo wa hadhara
Kinana akisalimiana na ofisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) wilayani Bariadi |
Kinana akimpatia Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi , Andrew Chenge ili azungumze katika mkutano huo |
Nape alkila wali kwa maharage pamoja na wananchi chakula kilichoandaliwa na Balozi kwa ugeni huo |
Wananchi wakitoa malalamiko yao kwa Kinana na kumuomba auamuru uongozi akiwemo mhandisi wa maji wa wilaya ya Bariadi, kuwapatia haraka maji kutoka kwenye kisima kilichopo katika kijiji hicho. |
Kinana akiwasihi wananchi hao kuwa wavumilivu hadi Oktoba muda ambao wameahidiwa na uongozi kuwa wataanza kupata maji. |
Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge akiahidi kujenga moja ya vyumba vya madarasa katika shule ya Malambo |
Chenge akielezea katika mkutano wa hadhara ahadi mbalimbali zilizotekelezwa na yeye pamoja na serikali katika jimbo hilo |
Kinana akihutubia wananchini katika mkutano wa hadhara mjini Bariadi, ambapo pamoja na mambo mengine, aliwataka viongozi wanaowatesa waalimu kwa kutowatekelezea maslahi yao, wajuzulu mara moja.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano huo wa hadhara |
Kiongozi wa Bodaboda wilayani Baraiadi, Masumbuko Nchina akiapatiwa na Kinana sh.mil. 1 iliyotolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Simiyu, Njalu Silanga |
No comments:
Post a Comment