Header Ads

KINANA ATINGA SERENGETI NA KUSISITIZA KUWA BARABARA YA SERENGETI, ARUSHA LAZIMA IJENGWE

 Gari lililombeba Katibu Mkuu wa CCM KAbdulrahman Kinana likivuka kwenye maji eneo la Nyamswa Butiama, kwenda Wilaya ya Serengeti kuendelea na ziara ya kuimarisha uhai na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Nape akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Anjelina Mabula (kulia) na Katibu wa CCM wa wilaya hiyo.
Kinana akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Anjelina Mabula.
Kinana akiagana na Katibu wa CCM wilaya ya Butiama pamoja na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Nimrod Mkono.
Kijana wa Chipukizi wa CCM akifanya mabo wakati wa kumlaki Kinana katika Kijiji cha Isenye wilaya ya Sengeti, Mkoani Mara leo.
Kinana  akiangalia ngoma ya asili katika Kijiji cha Isenye baada ya kuwasili wilayani Serengeti
Kinana akivishwa skafu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari na Nata wilayani Serengeti leo. Picha na kamanda wa matukio blog
Kinana akiwa kwa kutumia sabuni iliyotengenezwa na wanafunzi katika maabara ya shule ya Nata wilayani Serengeti.Kulia ni mwanafunzi Sylvester Joseph.
Wanafunzi wa shule hiyo wakiwa na baadhi ya waandishi wa habari walio kwenye msafara wa Kinana.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Nata Mbiso, Fortunatusi Sesela (kushoto) akimkabidhi Kinana usinga ikiwa ni ishara ya kumsimika kuwa mmoja wa wazee wa kimila wa kabila ya Nata wilayani Serengeti.
Kinana  akishangiliwa baada ya kusimikwa kuwa mmoja wa wazee wa kimila wa kabila la wanata
Akina mama wa kabila la Nata wakimkabidhi zawadi ya mkekeka kwa ajili ya mke wake.
Katibu Mkuu wa  Umoja wa Wanawake T anzania (UWT/CCM) Amina Makilagi akigawa chakula kwa wageni na wenyeji wa Serengeti.
Kinana akiangalia ngoma ya asili.
Kianan akikagua  majengo ya shule ya awali ya Bokole wilayani Serengeti.
Nape akitangaza kuahirisha mkutano wa hadhara baada kunyesha mvua kubwa mjini Serengeti.Picha zote na kamanda wa matukio blog

No comments:

Powered by Blogger.