KINANA AJILIPUA BUNDA,HAYUKO TAYARI KUONA WATENDAJI WA SERIKALI WANAIANGUSHA (CCM)
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu
wa Wilaya ya Busega Ndugu Paul Mzindakaya wakati alipowasili Wilaya ya
Serengeti kata ya Nzugu Mkoani Mara akitokea Wilaya Busega Mkoa mpya wa
Simiyu na kuanza ziara ya siku 6 katika mkoa wa Mara akianzia Wilaya ya
Bunda mkoani humo, Kinana amekagua miradi mbalimbali katika jimbo la
Mwibara na Bunda na kufanya mkutano wa hadhara mjini Bunda akikemea
watendaji wa serikali ambao hawataki kuwajibika badala yake wamekalia
kuvaa suti, kung'ang'ani vikao huku kujilipa posho na kuwa
"Mamangimeza" badala ya kuwatumikia wananchi jambo ambalo Chama cha
Mapinduzi ambacho ndiyo kimeiweka serikali madarakani hakitakubali
badala yake kitawawajibisha watendaji hao kukinusuru chama cha
Mapinduzi, Kinana amesema yuko tayari kujilipua ili kutetea wananchi na
Chama cha Mapinduzi CCM ili kurudisha heshima ya chama kama Mwalimu
alivyokiacha. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na
wabunge deo Filikunjombe wa jimbo la Ludewa na Kangi Lugora wa jimbo la
Mwibara. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na
viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kuwasili Sereneti
leo
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akicheza na
wananchi waliokuwa wakiimba nyimbo za kumkaribisha katika kijiji cha
Namibu katika jimbo la Mwibara. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akilakiwa na
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugora mara baada ya kuwasili katika
jimbo la Mwibara. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mh
Waziri Steven Wasira wakati alipotembelea mradi wa maji katika kijiji
cha Nyabeho wilayani Bunda. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na
watendaji wa chama hicho mkoani Mara. . Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana aki Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia ngoma
wakati alipowasili katika kijiji cha Nabiru jimbo la MwibaraHili ndiyo jengo linalojengwa la Chuo Cha Veta huko MwibaraKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kujenga jengo hilo la Veta Mwibara mkoani MaraKatibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Ndugu Nape
Nnauye katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wakinawa mikono baada ya
kushiriki katika maendeleo ya elimu Umati wa wananchi wakiojitokeza katika mkutano huo uliofanyika Stendi mjini Bunda.Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwahutubia wananchi mjini BundaKatibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi wa jimbo la Bunda leoKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Bunda leoKatibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnog"oneza
jambo Mbunge wa jimbo la Ludewa.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-BUNDA
No comments:
Post a Comment