Rais Kikwete aelekea Uingereza kwa Ziara ya Kikazi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick muda mfupi kabla ya kuondoka nchini leo asubuhi kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi. (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment