
Rais Jakaya Kikwete wa nne kutoka (kulia) akishiriki katika matembezi ya kuchangia shilingi Bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa jengo la akina mama wenye matatizo ya ugonjwa wa Fistula katika hospitali ya CCBRT leo asubuhi jijini Dar es salaam, matembezi hayo yameanzia katika hoteli ya Golden Tulip na kumalizika katika Hospitali ya CCBRT Mikocheni, matembezi hayo yameandaliwa kwa pamoja na kampuni ya Vodacom Tanzania, Vodafone pamoja na hospitali ya CCBRT Kampeni hiyo inajulikana kama (Finde your Moyo).
Rais Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu
wa Chadema, Willbroad Slaa na Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT,
Brenda Msangi wakishiriki katika mazoezi
alipokuwa katika matembezi hayo leo.





No comments:
Post a Comment