Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa
na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara
anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya
kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya ya Mpanda mkoa wa
Katavi jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa
na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara
anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya
kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya
ya Mpanda mkoa wa Katavi
jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea
zawadi ya kitabu cha mtafiti bingwa duniani wa Masokwe, Jane Goodall,
aliyefika Ikulu ndogo ya Wlaya ya Mpanda mkoa wa Katavi
jana kwa ajili ya mazungumzo. Jane amekaa nchini kwa
miaka 50 akifanya utafiti katika mapori ya Gombe na Mahale
yaliyopo mkoa wa Kigoma na Katavi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mtafiti bingwa wa Masokwe Duniani,
aliyekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti wa
Masokwe katika Mapori ya Gombe na Mahale, Jane Goodall, wakati
alipofika Ikulu ndogo Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa ajili ya
mazungumzo jana.
Picha ya pamoja baada ya
mazungumzo.
No comments:
Post a Comment