Header Ads

CHAMPIONI YATUNUKU TUZO KWA WAANDISHI NA WAHARIRI WAKE

 TUZO CHAMPIONI (22) Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kushoto) akikabidhi picha maalum ya timu ya Championi kwa Abdallah Mrisho.TUZO CHAMPIONI (23)Abdallah Mrisho akitoa neno la shukrani kwa timu ya Championi.TUZO CHAMPIONI (24)Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akikabidhi Tuzo Maalum ya Sapoti Bora ya Mzazi kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric TUZO CHAMPIONI (25) 
Eric Shigongo akizungumza na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).
TUZO CHAMPIONI (15) 
MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
TUZO CHAMPIONI (2)Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.

No comments:

Powered by Blogger.