AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA YA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya
kufanya usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jeshi
Lupembe ,vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la rais
Magufuli la kufanyika wa usafi siku ya Desemba 9.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na
Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea
msaada a vifaa vya kufanyia usafi kutoka Benki ya Azania tawi la Moshi.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akipokea rasmi msaada
kutoka benki ya Azania uliowasilishwa na Meneja wa benki hiyo ,Hajira
mmambe kwa ajili ya kufanyia usafi.



No comments:
Post a Comment