WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA

Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akipiga mahesabu ya haraka haraka na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius
Likwelile, baada ya kuulizwa swali na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw.
Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni
Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.




Picha zote na Ingiahedi C. Mduma – Washington DC.
No comments:
Post a Comment