TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa
ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini
Washington DC.
Wajumbe
kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na
kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto
mjini Washington DC.






No comments:
Post a Comment