WAZIRI WA FEDHA ATIA SAINI KITABU CHA WAGENI, UBALOZI, WASHINGTON, DC.
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam
Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya
Tanzania, Washington, DC Jumamosi April 20, 2013 baada ya Ubalozi
kumualika kwenye chakula cha yeye na ujumbe wake.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini
Marekani, Mhe. Lily Munanka akiamuangalia Mhe. Waziri wa Fedha Dkt.
Wiliam Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni, Ubalozi wa tanzania
nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi
Suleiman Saleh, Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa, Kaimu Balozi
Mhe. Lily Munanka na Afisa Ubalozi Paul Mwafongo katika picha ya pamoja
na Mhe. Waziri
No comments:
Post a Comment