Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akifwatilia Vikao Vya Bunge Mjini Dodoma

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo,
mkoani Kigoma, Venance Mwamoto(kushoto) wakiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge
Dodoma jana wakifuatilia kikao cha Bunge. Picha na Edwin Mjwahuzi
No comments:
Post a Comment