Header Ads

WAZIRI MKUU MH. PINDA AKUTANA NA WANACHUO WA MWALIMU NYERERE DAR

IMG_0008Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. IMG_0025IMG_0029Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika  mjini Dodoma Aprili 17,2013. IMG_0031Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni Frlister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Powered by Blogger.