PINDA AFUNGUA MAONESHO YA AFYA NA USALAMA DUNIANI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoaji katika banda la maonesho ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment