MSIBA NEW JERSEY/ NEW YORK NA TANZANIA
Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende Enzi ya uhai wake
Watanzania
waishio New Jersey na New York City wanasikitika kutangaza kifo cha
mtanzania mwenzao Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende. kilichotokea
Livingston, NJ. Jumatano tarehe 24. Wanaomba watu wajumuike nao katika
kuchangisha na hatimae kuwezesha kumsafirisha marehemu kwa mazishi
Tanzania.
Tunaomba
msaada wako wa hali na mali popote pale ulipo, mzigo huu ni wetu na
Adollph ni ndugu yetu, Jamaa yetu, rafiki yetu, mpendwa wetu na
Mtanzania mwenzetu. kwa pamoja tunaweza. Kama upo New Jersey, New York
na majimbo ya jirani.
msiba upo
374 Hawthone Terrace,
Mount Vernon, NY 10552
Unaweza kutuma mchango wako kupitia BANK OF AMERICA # 483033242384 Route # 02100032 jina la a/c Peter Luangisa
Kwa Mawasiliano na maelekezo piga simu
Rahma Adam (617) 818-7657.
Peter Luangisa (917) 681-6971
Rashidi Kamugisha (973) 703-4596
Bernard Kivugo (973)580-7166
William Vedasto (973)551-2916
UKIPATA UJUMBE TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO

No comments:
Post a Comment