 |
| Wafuasi wa CCM
katika Kijiji cha Chakwale, wilayani Gairo, wakiimba wimbo wakati wa
kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Kinana alipowasili kuzindua shina la
Chakwale.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA |
Kinana akiituza fedha kwaya ya wazee walitumbuiza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo leo
 |
| Mmoja wawanachama wapya wa CCM akivishwa shati lenye rangi ya chama hicho. |
 |
| Wanachama wapya
wa CCM wakionesha kadizao mpya baada ya kukabidhiwa na Kinana baada ya
kuzindua shina la Kibedya wilayani Gairo leo |
 |
| Kinana akizindua tawi jipya la Tupendane |
Kinana azindua shina jipya la Zalubunga mjini Gairo
 |
| Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby akijadilana jambo na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye wakati wa uzinduzi wa shina la Kibedya |
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman (kushoto) akilakiwa na Chipukizi wa
CCM, alipofika Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro leo,
akiwa katika muendelezo wa ziara ya kikazi ya siku nane ya kuimarisha
uhai wa chama hicho, mkoani Morogoro. Aliyeongozana naye ni Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa huo.
No comments:
Post a Comment