Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Akutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari


Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na
Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo.Mazungumzo hayo yalihusu mambo
mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment