Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo, Juma Mpango aliyefika ofini kwa Karibu Mkuu leo,
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa
NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa
Rwanda, Dk. Ben Rugangizi aliyemtembelea ofisini kwake, leo, Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam.Picha zote na Bashir Nkoromo
Reviewed by
crispaseve
on
8:30 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment