MANCHESTER UNITED NDEMBE! NDEMBE!
Maswali ya ambayo wamejiuliza sana washabiki wa manchester baada ya kushindwa ni
haya ..je ilikuwaje? pale kafanyaje?bora angeingia..,leo vipi?
haya ..je ilikuwaje? pale kafanyaje?bora angeingia..,leo vipi?
mwishoni anamalizia poa tu wamebahatisha...leo
Hapo ndipo mwaka unakuwa mbaya kwa Man U ,baada ya kupigwa 3-1 na Barcelona jana usiku saa 5 manchester ilijitahidi kujiepushia balaa hilo lakini juhudi ziliishia miguuni kwa wyne looney
BINGWA BARCELONA FULLSHANGWE.....
"Mashabiki wa manchester united wote duniani kwa ujumla leo itakuwa tumefanana sura zetu kwasababu wote tumelia sana lazima tutakuwa tumevimba macho....."
" mungu ibariki mimi na manchester united na mbariki na rooney ambaye amenipa jeuri kidogo kwa goli la kufutia machozi ila asante mungu nimepata jeuri ya kutoka nje leo japo kidogo tu.amina"
na hivi ndivyo mlevi alivyosikika akisema baa flani baada ya kumaliza kuangalia mechi hiyo jana..

No comments:
Post a Comment