WAZIRI WA ARDHI AKUTANA NA WAMILIKI WA MABENKI NCHINI
Waziri wa
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na
Wamiliki wa Mabenki Nchini ili kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila
katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali leo jijini
Dar es salaam katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi
za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali,
kushoto ni Bibi Medelina Kiwayo Meneja Usimamizi wa Taasisi za
Fedha-Benki Kuu na Tuse Joune Kaimu Mkurugenzi Mkuu Chama cha Wenye
Mabenki Tanzania (TBA).
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi
za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali
alipo kutana nao leo jijini Dar es salaam.

wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwa katika
kikao na Wamiliki wa Mabenki Nchini ili kuzitambua Hati Miliki za Ardhi
za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali,
kulia ni Bibi Medelina Kiwayo Meneja Usimamizi wa Taasisi za Fedha-Benki
Kuu na Tuse Joune Kaimu Mkurugenzi Mkuu Chama cha Wenye Mabenki
Tanzania (TBA), kushoto ni David Shambwe Mkurugenzi wa Hazina na
Maendeleo ya Biashara-NHC na Mary Makondo Kaimu Kamishna wa Ardhi.
No comments:
Post a Comment