MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA VIETNAM HII LEO,FURSA ZA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI ZAFUNGULIWA RASMI
Waziri
 wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa 
Vietnam NdgTruong Tan Sang mapema hii leo walipokutana kwaajili ya 
mazungumzo kuhusu fursa zilizopo katika kilimo,mifugo na uvuvi katika 
nchi mbili hizi rafiki
Katika
 mazungumzo ya pamoja kati ya Rais wa Vietnam na Mh.Mwigulu Nchemba na 
ujumbe wake,Pande hizi mbili zimekubaliana kushirikiana kwenye 
uzalishaji wa mbegu bora za mazao na uzalishaji wa samaki hapa 
nchini,Mbali zaidi wamekubaliana kufungua fursa zaidi kwa 
wafanyabiashara wa nchi hizi mbili kuwekeza kwenye kilimo,mifugo na 
uvuvi.
Mauzungumzo yakiendelea kati ya ujumbe kutoka Vietnam na wadau wa kilimo hapa nchini.
Mh.Mwigulu Nchemba akiagana na Rais wa Vietnam mara baada ya mazungumzo ya pamoja kumalizika.Picha/Maelezo na Festo Sanga Jr.
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment