RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA125 YA KANISA LA KKKT TANGA
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya
Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)
Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya
dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga
leo(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya
Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)
Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya
dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga
leo.
Kukindi cha Matarumbeta kikitumhuza wakati wa maadhimisho hayo.
Ibada
ya maadhimisho hayo ikiendelea wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya
miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda
mjini Tanga leo.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment