RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi
wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini
Dodoma, leo Julai 9, 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufye cha kengere
kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention
Centre, uliopo maeneo ya ..... mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, na Balozi wa China nchini
Tanzania, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Ukumbi mpya wa
mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, wakati wa
hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Julai 9, 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi mfano wa ufunguo
wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, Katibu Mkuu wa
CCM Bara, Abrahman Kinana, baada ya kuzindua rasmi ukumbi huo leo, mjini
Dodoma.

Picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chama na
Serikali baada ya uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment