MSIGWA APATA RIDHAA YA WANANCHI KUONGOZA MIAKA MITANO MINGINE KITI CHA UBUNGE IRINGA MJINI.
Mhe.
Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya akiunguruma kwenye mkutano huo wa
wananchi wa Iringa wa kumpa ridhaa Mbunge wao Mhe. Peter Msigwa kugombea
tena kwa miaka 5 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu.
Mbunge
wa Mbeya Mhe. Joseph Mbilinyi (sugu) watatu toka kushoto akiteta jambo
na Mhe/ Peter Msigwa Mbunge wa Iringa katika mkutano wa kumpa ridhaa
Mbunge Mhe. Peter Msigwa kugombea ubunge kwenye jimbo hilo kwa miaka 5
ijayo kwa tiketi ya chama chake, CHADEMA.
Mwimbaji
wa nyimbo za injili Flora Mbasa akiimba moja ya nyimbo zake kwenye
mkutano huo uliofanyika leo Jumapili July 18, 2015 mjini Iringa
|
No comments:
Post a Comment