BREAKING NEWS: Mgombea Urais kutoka chama cha CCM, Mh. John Magufuli amemteua Mh. Samia Hassan Suluhu
Mgombea Urais kutoka chama cha CCM, Mh. John Magufuli amemteua Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea mwenza wa Urais katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu hapo Oktoba.
Kwa mara ya kwanza Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaweka historia ya kumsimamisha mgombea mwenza mwanamke katika ngazi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment