BENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA
Afisa Mauzo wa Benki
ya DCB,Tatu Shija( katikati) akiwa na wajasiriamali walionufaika na huduma za
kibenki na DCB wakinyesha bidhaa zao katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa
katika viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Afisa Mauzo wa Benki
ya DCB, Rashid Ngwali (amenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wananchi waliopita
katika banda la DCB katika meonesho ya
39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Wakala wa Benki ya
DCB Jirani,Silima Nassoro akitoa maelezo kwa wateja waliopita katika banda la DCB
katika meonesho ya 39 ya Biashara ya
Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. (Picha na Emmanuel Massaka Globu
ya Jamii)
No comments:
Post a Comment