MWILI WA HAYATI MZEE MGAWE UMEWASILI TANZANIA.
Maafisa
wa Jeshi la Polisi Tanzania wakipokea mwili wa hayati mzee Eddis Mgawe
ulipowasili Jumatatu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Daresalaam Tanzania (JIA) kutoka Washington Dc. Mzee Mgawe
alikuwa ni kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini na alifariki dunia
wiki iliyopita nchini Marekani alikokuwa anawatembelea wanae.
No comments:
Post a Comment