PICHA KUTOKA IKULU ZANZIBAR:BALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI SHEIN

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga
alipofika Ikulu Mjini Unguja jana
No comments:
Post a Comment