Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusu hujuma zinazodaiwa kufanywa,kuzima kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 300, zilizohifadhiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow, kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), isijadiliwe bungeni
Mwenyekiti
Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari mjini
Dodoma kuhusu hujuma zinazodaiwa kufanywa na Serikali kupitia Bunge,
kuzima kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 300, zilizohifadhiwa
katika Akaunti ya Tegeta Escrow, kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
isijadiliwe bungeni. Kushoto ni Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu
(Chadema) na mbunge wa Mkanyageni (CUF), Mohammed Habib Mnyaa.Na Mpiga
Picha Wetu
--
Wakati kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikianza kupitia ripoti ya IPTL kuhusu uchunguzi wa ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umedai kwamba kuna mikakati imeandaliwa kuzima ripoti hiyo kusomwa na kujadiliwa bungeni.
No comments:
Post a Comment