MWENYEKITI WA CHADEMA AUNGURUMA MIKOA YA KIGOMA NA KATAVI

Akinamama wa kijiji cha
Igalula mkoani Kigoma, wakicheza ngoma ya asili, wakati wa mapokezi ya
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
(kushoto), baada ya kuwasili kijijini hapo, ambako alihutubia mkutano
wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

Wananchi wa kijiji cha
Igalula mkoani Kigoma, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe wakati alipokuwa akiwahutubia
katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.


Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi
wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa
Oparesheni Delete CCM juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwakabidhi kadi za
Chadema waliokuwa viongozi wa CCM wa serikali ya kijiji cha Kapalamsenga
katija jimbo la Mpanda Vijijini, baada ya kujiunga na Chadema katika
mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

Badhii ya waliokuwa
viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa serikali ya kijiji cha
Kapalamsenga katika jimbo la Mpanda Vijijini, wakimkabidhi kadi za CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, walipoamua kujiunga na Chadema, baada ya mkutano wa Oparesheni
Delete CCM, uliofanyika kijijini Hapo juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisalimiana na Bi.
Mariamu Ramadhani (86), baada ya kuwasili katika kijiji cha Kapalamsenga
mkoani Katavi, ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni
Delete CCM juzi.

Naibu Katibu Mkuu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu Mwalimu
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma, katika
mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

Waliokuwa viongozi wa
serikali ya kijiji cha Kapalamsenga kupitia CCM, wakionyesha kadi zao
kabla ya kuzikabidhi kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe, walipojiunga na chama hicho wakati wa mkutano
wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kijiji hapo juzi.
No comments:
Post a Comment