KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI NANYUMBU

Ujenzi
wa mradi wa maji wa Sengenya ukiwa unaendelea ambapo ukikamilika
utasaidia vijiji vitatu wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanga mawewakati wa
ujenzi wa bwawa la maji la Sengenya ambalo litasaidia vijiji vya
Sengenya ,Mara na Nangarinje.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Daktari
Mkuu wa Wilaya wilaya ya Nanyumbu Dkt. Ahmad Mhando ambapo Katibu Mkuu
wa CCM alitembelea kituo hicho cha afya cha Mangaka.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na
Daktari Mkuu wa Wilaya wilaya ya Nanyumbu Dkt. Ahmad Mhando baada ya kukagua kituo hicho cha afya cha Mangaka.

Katibu
Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC
itikadi na Uenezi Nape Nnauye kutanzama daraja hilo linalounganisha nchi
mbili za Tanzania mfumo.

Shehena ya mbao zilizokamatwa ma TRA Mtambaswala

Katibu Mkuu wa CCM akiondoka kwenye ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania zilizopo Mtambaswala.
No comments:
Post a Comment