Header Ads

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ATINGA MASASI, ATAKA CCM IENDELEE KUIBANA SERIKALI JUU YA WAFUJAJI WA FEDHA ZA A UMMA


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara
 
 Kinana akishiriki ujenzi wa kingo za barabara mjini Masasi
 
 Kate Kamba akimuonesha Komredi Kinana korosho zilizofungashwa kisasa kiwandani hapo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara
 Komredi Kinana akivishwa skafu na chipukizi ikiwa ni ishara ya kumkaribisha katika Mkoa wa Mtwara
 Wananchi wakiwa wamejipanga kumpokea Komredi Kinana wilayani Masasi, Mtwara
 Kinana akialimiana na akina mama wajane alipotembelea kikundicha Ujasiriamali mjini Masasi
 Meneja wa Kiwanda cha Ubanguaji Korosho cha Perfect Masasi Mtwara, akimuonesha Komredi Kinana jinsi mtambo kiwanda hicho unavyofanya kazi
 Kinana akiangalia mashine za kubangua korosho katika Kiwanda hicho

No comments:

Powered by Blogger.