TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA. ZITASAIDIA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP
Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili
ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni.
Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni
Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP
Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh.
mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza
hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es
Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu
Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Usalama
Barabarani, Henry Bantu.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kushoto) na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna
Mohamed Mpinga wakionesha moja ya fulana zilizotolewa msaada na TBL kwa
ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es
Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa
ajili hiyo.
No comments:
Post a Comment