NEYMAR SHUJAA, APIGA BAO MBILI BARCA IKISHINDA 2-0

Washambuliaji
wawili wa
Barcelona, Lionel Messi na Neymar wameng'ara katika mechi dhidi ya
Atletic Bilbao lakini zaidi kwa Neymar aliyepiga mabao mawili huku timu
yao ikishinda 2-0.
Barcelona imeishinda Athletic
Bilbao mabao 2-0 katika mechi ya La Liga leo.
Messi
ndiye aliyetoa pasi kwa Neymar ambaye alifanya ajizi lakini akarudia
tena na Mbrazil huyo hakufanya ajizi kuandika la pili.
Pointi hizo tatu muhimu
zimewaweka kwenye nafasi nzuri kwa kuwa wanajua katika ya wapinzani Madrid na
Atletico, mmoja akipoteza ni neema kwao.
No comments:
Post a Comment