KAMPUNI YA BE FORWARD TANZANIA YADHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI 2014

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Magesa Mrongo akimkabidhi Tuzo mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya BE
FORWARD TANZANIA bw. Daniel Mtaalam wakati wa maadhimisho ya wiki ya
nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh
Amir Abeid, kwa kutambua mchango na jitihada zao za kutoa elimu ya
usalama barabarani ambapo pia kampuni hiyo ni wadhamini wakuu
Tuzo
waliyotunukiwa kampuni ya BE FORWARD TANZANIA katika maadhimisho ya
wiki ya nenda kwa usalama barabarani jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid
Mmoja
wa wadau katika maadhimisho hayo akifurahia ujio na ushiriki wa kampuni
ya BE FORWARD TANZANIA kwa kutoa elimu ya usalama barabarani
Wadau wakipata elimu ya usalama barabarani na kujua shughuli zinazofanywa na kampuni ya BE FORWARD TANZANIA katika banda lao
Maofisa
wa kikosi cha usalama barabarani wakitoa elimu kwa wadau waliotembelea
banda la BE FORWARD TANZANIA katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa
usalama barabarani
yaliyofanyika kitaifa jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid (Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment