Wizara ya Viwanda na Biashara ilivyoshiriki katika maonyesho ya Wiki ya Utuimshi wa Umma
Ofisa
Mkuu wa Wakala wa Vipimo, Zainabu Kafungo akielezea jinsi baadhi ya
wafanyabiashara wanavyoiba kupitia mizani wakati wa maonyesho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma katika Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.
Maofisa
wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Huzaina Mushin na Kamala Gombe,
wakitoa Elimu kwa wageni waliotembelea banda la Wizara hiyo katika
maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya
Mnaza Mmoja,Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali watu wa Viwanda na Biashara, Mary Mwangisa
akiongoza watumishi wa Wizara yake kutoa huduma katika Banda la Wizara
hiyo katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Kaimu
Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda na
Biashara, Nicodemus Mushi akihojiwa na vyombo vya habari.
No comments:
Post a Comment