Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Amtembelea Kiongozi wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid
Salum,alipofika katika moja ya nyumba hizo Limbani Wete,akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Kiongozi
wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum,alipokuwa akitoa shukurani
zake kwa niaba ya Vijana wanaoishi katika nyumba za Sober house,Limbani
Wete,kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,baada ya kuzungumzanao jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Kiongozi wa
Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum,alipofika katika moja ya nyumba
hizo Limbani Wete,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Vijana wanaoishi katika Nyumba za Sober
house Limbani Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya ziara maalum ya
kuonana na vijana hao ,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia)
kujua matatizo yanayowakabili
Baadhi
ya Vijana wanaoishi katika nyumba za Sober house Limbani Wete,
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao jana, akiwa katika ziara
ya Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi mbali mbali
wakiwa katika picha ya pamoja na Vijana wanaoishi katika Nyumba za Sober
house Limbani Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,.Picha na Ramadhan
Othman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment