Header Ads

Bondia Amos Mwamakula a.k.a King of Miggo Tarehe 26 February 2012  Ndani ya maisha club!!
Bondia Amos Mwamakula a.k.a King of Miggo Tarehe 26 February 2012  Ndani ya maisha club atawasindikiza kikosi cha mizinga katika kutambulisha singo yake mpya itakwayo kwenda kwa jina la Bata Katika maadhi ya Mdukwa style.

Amos Mwamakula ni Bondia mwenye vipaji vingi kuachana na boxing pia ni mwanamuziki,actor kickboxing player n.k.
Nyooote mnakaribishwa...

KWA VIDEOS ZA AMOS MWAMAKULA VISIT ON


 
Any support.
Kwa maulizo yaani yoyote kikazi na hata kuhusu shows
nipigie kwa namba za ofisi
phone no.+255 718000480 
e-mail:gorilapunch@gmail.com

 

No comments:

Powered by Blogger.